Quantcast

Top-Rated Articles


Huyu Ndiye Msanii Wa Bongo Movies Aliyefumaniwa Na Mpenzi Wake Akiliwa URODA...

Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita...

View Article


Nafasi za Kazi ZURA

View Article

IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA

MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa. Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja...

View Article

WAHAYA NA ZAHAMA KWA KINAMAMA

Na  Prudence KarugendoWAHAYA  ni kabila maarufu linalopatikana kwenye eneo la Bukoba katika mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania.Kabila hilo ni moja ya makabila yaliyowahi kustaarabika na...

View Article

WANAFUNZI 600 S/M VIKAWE KATA YA PANGANI, KIBAHA MJINI WASOMEA KATIKA...

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHASHULE ya msingi Vikawe ,kata ya Pangani ,Mjini Kibaha ,Mkoani Pwani ina upungufu wa vyumba vya madarasa hali inayosababisha ,wanafunzi 600 kusomea kwenye vyumba vinne...

View Article


NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA TANZANIA

NAFASI  ZA  KAZI  ZA  KUJITOLEATaasisi  zisizo  kuwa  za  kiserikali ( NGOs)  kutoka  katika  wilaya  mbalimbali  za  Tanzania  bara  na  visiwani,zinahitaji  vijana  wa  kitanzania  wenye  sifa...

View Article

LIST MPYA,YA 10 BORA YA WATU MATAJIRI NCHINI TANZANIA

Said Salim Awadh Bakhresa.KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa...

View Article


MJANE WA KATIBU MKUU WA ZAMANI WA CCM HORACE KOLIMBA AFARIKI DUNIA, LEO.

<Horace Kolimba akiwa na mkewe wakati wa uhai wao.B.Nkoromo Dar es SalaamMjane wa Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Marehemu Horace Kolimba, amefariki dunia, jijini Dar es...

View Article

AUDIO: TUNA MAN - "ACHANA NA MIMI". (Download MP3)

Chukua wimbo mpya kabisa wa Msanii TUNDA MAN, wimbo unaitwa "ACHANA NA MIMI"......ASILI YETU TANZANIA

View Article

SONG: TUNDA MAN - "MAPENZI YALE YALE" (Download MP3).

Kamata hapa wimbo mpya wa Msanii TUNDA MAN, wimbo unaitwa "MAPENZI YALE YALE".....ASILI YETU TANZANIA

View Article

Latest Images