Quantcast

Latest Articles

KAMATI YA USALAMA BARABARANI YAKABIDHI MAGARI NA PIKIPIKI KWA JESHI LA POLISI...

KAMATI ya Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu...

View Article

Somalia Sasa Rasmi Mwanachama wa EAC.

Na Jane Edward, Arusha Nchi ya Somalia leo tarehe 4/3/2024 imeandika historia Rasmi kuwa mwanachama wa nane wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo imeelezwa kuwa itasaidia suala Zima la msukumo wa...

View Article

NMB Yaunga Benki nyingine 17 Kwenye Mtandao Wake wa ATM

Ushirikiano wa Benki ya NMB na UBX inayounganisha Benki 17 kwenye mtandao wake wa Umoja Switch umeiwezesha Benki ya NMB kuunganisha benki hizo 17 kwenye mtandao wake wa mashine za kutolea fedha (yaani...

View Article

NMB YAUNGABENKI NYINGINE 17KWENYE MTANDAO WAKE WA ATM

 Ushirikiano wa Benki ya NMB na UBX inayounganisha Benki 17 kwenye mtandao wake wa Umoja Switch umeiwezesha Benki ya NMB kuunganisha benki hizo 17 kwenye mtandao wake wa mashine za kutolea fedha (yaani...

View Article

Mwenyekiti Atoa Wito Walimu Kutengenezeni Mazingira Rafiki na Watoto

NjombeWAKATI wanafunzi wa kidato cha sita wakitarajia kufanya mtihani wao wa mwisho mwezi Mei mwaka huu,Wahitimu wametakiwa kuzingatia maadili,Nidhamu na weledi mkubwa pamoja na kumtanguliza...

View Article

14 WATEULIWA KUWANIA UDIWANI KATA YA KIMBIJI KIGAMBONI

Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji, Bw. Ricky Pascal na Bi. Twidike Ntwima wakibandika fomu za utezi wa wagombea wa udiwani Kata ya Kimbiji leo baada ya muda wa uteuzi kumalika Saa 10:00...

Official CCM Blog: MAGAZETI MOTOMOTO YA UINGEREZA, MAREKANI NA MENGINE...

View Article

Edo Kumwembe "Tumetumia 1% Kujadili Timu Mbili Kuingia Robo Fainali ila...

TUMETUMIA 1% KUJADILI TIMU2 KWENDA ROBO, 99% KUWAJADILI PACOME & CHAMA“Tumetumia asilimia moja tu ya muda wetu kujadili na kujivunia namna tulivyo wakali, namna tulivyopelekea timu mbili robo...

View Article

‘’IMARISHENI VIKUNDI VYA WANAWAKE’’-MHE PINDA

Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akizungumza na wanawake wa Kata ya Mwamapuli halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi...

View Article

Latest Images